WAMASAI WA IPOKEA CHADEMA KWA MIKONO MIWILI



Mzee wa Kimasai wa Jimbo la Longido ameamua kutumia fimbo yake ya mkononi kwa kuifungia Bendera ya Chadema na kusema kwa njia hii atahamasisha Wengi kuamini Chadema ni Tumaini Jipya kwa Watanzania, Pemben ni Mwenyekiti wa Arumeru Magharibi Mhe Gipson Mesiyeki na  wapili kushoto ni kamanda wa longido

No comments: