UONGOZI WA MKOA WA ARUSHA WAFANYA ZIARA YA KICHAMA KUFANYA TATHIMINI ZA KIUTENDAJI

Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mhe Amani Golugwa pamoja na Katibu wake Mhe Lazaro Kalisti leo tar 28/02/2015 amefanikiwa kufanya kikao cha ndani Wilayani Karatu, kikao hicho kilikuwa na Lengo la kufanya tathimini ya Chama Maendeleo ya chama na kukumbushana majukumu ya viongozi katika kila ngazi husika.
Kikao hicho kilihudhuriwa na Mbunge wa Karatu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mhe Israel Natse na Mwenyekiti wa Almashauri ya Mji wa Karatu Mhe Lazaro Masayi
 
Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mhe Amani Golugwa na Katibu wake Mhe Lazaro Kalisti wakishauriana jambo kabla ya kikao kuanza

Wajumbe wa kamati tendaji na Madiwani wa Wilaya ya Karatu

Mwenyekiti wa Wilaya ya Karatu Mhe Darabe Akitoa neno la ufunguzi wa kikao

Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mhe Amani Golugwa akitoa neno la utangulizi katika kikao cha Kamati Tendaji ya Karatu


Mwenyekiti wa Almashauri ya Karatu Mhe Lazaro Masay akitoa taarifa fupi ya nini kinachofanywa na almashauri katika kutatua matatizo ya wananchi wa Wilaya ya Karatu



Mbunge wa Karatu Mhe Israel Natse akiwahimiza Madiwani na Viongozi wa Kamati Tendaji juu ya watu kujiandikisha pindi zoezi hilo litakapo fika katika  maendeo yao



Katibu wa Mkoa wa Arusha Mhe Lazaro Kalisti akiwakumbusha wajumbe Baadhi ya Kanuni za Uongozi kwa lengo la kujenga uongozi bora

Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mhe Amani Golugwa akiongea na wajumbe wa Kamati Tendaji, akiwakumbusha mambo ya msingi ya kufanya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa October Mwaka huu 2015

Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mhe Amani Golugwa akiongea na wajumbe wa Kamati Tendaji, akiwakumbusha mambo ya msingi ya kufanya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa October Mwaka huu 2015

No comments: