MAFUNZO KWA VIONGOZI MKOA WA ARUSHA

Mhe Kisheri Mchele akitoa mafunzo kwa Viongozi wa Wilaya/Majimbo ya Mkoa Wa Arusha wa katika Ukumbi wa Primer Palace Mjini Arusha.
Mafunzo haya yamelenga Kukumbushana wajibu wa Kila kiongozi katika ngazi husika.
Katibu wa Kanda na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mh Amani Golugwa akibadilishana mawazo na Kamanda Kisheri Mchele kabla ya Mafunzo kuanza

Viongozi wa Wilaya/Majimbo Saba ya Mkoa wa Arusha wakiwa Kwenye Mafunzo 




Katibu wa Kanda na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mh Amani Golugwa akitoa neno la ufunguzi katika semina ya mafunzo ya Viongozi , Amewahimiza viongozi kuchukulia kwa uzito mafunzo yanayo tolewa na kuyafikisha mpaka ngazi za Mitaa na Misingi.


Katibu wa Mkoa wa Arusha Mh Kalisti Lazaro akifafanua jambo kupitia Katiba ya Chadema





Mwenyekiti wa Kanda Mhe Israel Natse akiwa na Katibu wa Kanda na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mh Amani Golugwa katika semina ya Viongozi Mkoa wa Arusha



Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Arusha Mzee Haruna Fundikira akitoa neno la Kuwajenga Viongozi kitu kimoja katika utendaji wa Kazi

No comments: