Uchaguzi wa Wilaya ya Kiteto

Huu ndio uongozi mpya wa Chadema katika Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara

Mkt aliemaliza muda wake (OCD mustaafu) Tablani Msangi akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wilaya kabla ya uchaguzi. Baada ya uchaguzi alifanikiwa kutetea nafasi yake kama mkt wa wilaya

Viongozi wa Bavicha wilaya ya Kiteto Jacob Gurti (MKT), Athumaa Hamis (Ktb) na Asha Rashid (hamasa)

. Mkt wa Bawacha Mh. Zamzam Ramadhan akiomba kura


Viongozi wa Bawacha wilaya ya Kiteto Zamzam Ramadhan (mkt), Dangilo Athuman (Ktb) na Mariam Isere (M/hazina)


. Mkt baraza la Wazee wilaya ya Kiteto Mzee Salim Mohamed Kota


Wajumbe wa mkutano mkuu wilaya ya Kiteto

Mgombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu taifa ndg. Hamza Mdachi akiomba kura kwa wajumbe lkn kura hazikutosha

No comments: