TATHIMINI YA UHAI WA BAWACHA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

Uongozi wa Mkoa BAWACHA walifanya tathimini ya Uhai wa BAWACHA katika jimbo la Arumeru Mashariki ambako pia walifanya Uchaguzi wa Mweka Hazina Wilaya na Wajumbe watano (5) wa Mkutano Mkuu BAWACHA.
 Katika ZIara Hiyo iliyo ongozwa na Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa Mhe Cecy Ndossi pia alikuwepo Mh Rebecca Mgodo (MB) Vitimaalum na Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Arusha Mjini Mh Happy Charles
 

Wajumbe walio Teuliwa kuwakilisha BAWACHA Mkutano Mkuu


Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha ,Mh Cecy Ndossi akiwaelekeza jambo wajumbe walio teuliwa



Mh Rebecca Mgodo (MB) akiwapongeza Wajumbe walio teuliwapamoja na mweka hazina aliye chaguliwa




Mh Cecy Ndossi ,Mkt wa BAWACHA mkoaArusha Akiwapongeza wajumbe walio teuliwa Kuwakilisha BAWACHA mkutano mkuu

Picha ya Pamoja ya viongozi wa BAWACHA Mkoa pamoja na wajumbe walioteuliwa

No comments: