MHE LUCY OWENYA (MB) VITI MAALUM MKOA WA KILIMANJARO AFANYA ZIARA KATIKA MAENEO MBALI MBALI MWANZONI MWA MWEZI WA PILI 2015



 Mhe Lucy Owenya (MB) Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro amefanya ziara katika maeneo mbali ya mkoa wa Kilimanjaro kwa lengo la kujenga Chama na Kusaidia waanga walio kumbwa na majanga mbali mbali


Mhe Lucy Owenya (MB) Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro akifungua Tawi la Chadema Kijiji cha  Mserekia  katika Kata ya Mabogini 


Mhe Lucy Owenya (MB) Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro akifungua Tawi la Chadema Kijiji cha Remit  katika Kata ya Mabogini
Mhe Lucy Owenya (MB) Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro alipotembelea Kijiji cha Kariwa, kata ya Uru Kusini, kuwafariji wa hanga wa kimbunga Kikali ambacho kilipelekea miti kuangukia nyumba na mapaa kuchukuliwa na Upepo zaidi ya kaya 6

Mhe Lucy Owenya (MB) Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro akitoa msaada wa kununua mabati 20 kwa wahanga ambao nyumba zao ziliangukiwa na miti katika kijiji cha Kiriwa

Mhe Lucy Owenya (MB) Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro akiwa  na Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Kilimanjaro na (MB)  wa Viti Maalum na Wajumbe wa BAWACHA  mtaa wa mji mpya Moshi Vijijini,Lengo nikuimarisha Kikundi


No comments: