ZIARA YA KATIBU WA KANDA MKOA WA MANYARA

Katikati Mhe Amani Golugwa akieleza jambo katika kikao cha tathmini ya mipango mikakati Jimbo la Mbulu wa kwanza kulia ni katibu wa mkoa wa Manyara ndugu Martini Mayala na upande wa kushoto ni katibu wa wilaya ya Mbulu ndugu Alex .

Viongozi/madiwani na wadau mbalimbali wa Jimbo la Mbuli wakimsikiliza katibu wa kanda ya kaskazini


No comments: