KAZI YA UZINDUZI WA MATAWI INAENDELEA WILAYANI MWANGA -"KILEO"

Kileo amefanikiwa kuzindua tawi la  MAPAMBANO katika Kijiji cha Kifaru,kata ya Kileo  Wilayani mwanga,ikiwa ni muendelezo wa kuhakikisha Wilaya nzima ya Mwanga inakuwa na matawi ya Chadema na kujipanga kwa ushindi kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2015

Baadhi ya makamanda walio jitokeza kushuhudia uzinduzi wa tawi hilo

Mhe Kileo akizindua Tawi la Mapambano katika kijiji cha Kifaru

Mhe Kileo akizindua Tawi la Mapambano katika kijiji cha Kifaru




No comments: