MHE LUCY OWENYA ATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI

Mhe Lucy Owenya (MB) Vitimaalum Mkoa wa Kilimanjaro akipokelewa na viongozi  kata ya Arusha Chini jimbo la Moshi Vijijini


Mhe Lucy Owenya (MB) Vitimaalum Mkoa wa Kilimanjaro akitoa msaada wa vyakula kwa wananchi wa kata ya Arusha  jimbo la Moshi Vijijini,walio fikwa na maafa ya mafuriko


Hivi ndivyo mafuriko yalivyoleta  maafa

Hivi ndivyo mafuriko yalivyoleta  maafa



Hivi ndivyo mafuriko yalivyoleta  maafa

No comments: