![]() |
Mhe Lucy akitoa neno la kuwakaribisha na kuwatakia washiriki wote mashindano mema ambayo yanaleta umoja ndani ya jamii |
![]() |
Mhe Lucy akisalimiana na wachezaji walio fungua mashindano hayo |
![]() |
Mhe Lucy akipiga dana dana kuashiria ufunguzi rasmi wa mashindano ya LUCY OWENYA CAP |
![]() |
Hili ndio kombe atakalo zawadiwa mshidi wa kwanza wa mashidano haya |
No comments:
Post a Comment