MKUTANO MKUU WA BAWACHA KARATU

Mkutano mkuu wa BAWACHA wilaya ya Karatu umefanyika leo, Mkutano huu umehudhuriawa na Mhe Ceccy Ndosi Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha na Mhe Cecilia Daniel Paresso (MB) Viti Maalumu na Mwenyekiti wa BAWACHA Karatu.
Katibu wa Bawacha Karatu Mhe Debora Thomasi akitoa Muongozo/utaratibu wa Mkutano

Mhe Cecilia Daniel Paresso (MB) Viti Maalumu na Mwenyekiti wa BAWACHA Karatu akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA Karatu

Mhe Cecilia Daniel Paresso (MB) Viti Maalumu na Mwenyekiti wa BAWACHA Karatu akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA Karatu

Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha Mhe Cecy Samson akiwasalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Bawacha Karatu na kuwatakia uchaguzi mwema

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Bawacha Karatu

No comments: