Mweneyekiti wa Kijiji cha Makanya Wilaya ya Same aliye chaguliwan ana wananchi 14/12/2014 Kamanda PETER ARON MCHOME Malifunguliwa kesi na aliyekuwa Mgombea wa CCM Bwana Khalfan Hassan Kulewa kupinga ushindi wa Kamanda Peter Mchome.
Tar 15/05/2015 Mahakama ya Wilaya ya SAME ilikubali hoja ya wakili msomiwa CHADEMA Shecky Mfinanga za kupinga uhalali wa kisheria wa HATI za mashitaka za Wakili Bwana Khalifan,Wakili CHANJARIKA kwakua zilikuwa na Mapungufu Makubwa ya Kisheria na kutupilia mbali shauri hilo na kumfanya Kamanda PETER MCHOME Kuwa Mshindi na hivyo ndiye MWENYEKITI HALALI WA KIJIJI CHA MAKANYA kulingana na Uchaguzi wa tar 14/12/2014
|
Wamama wakiongoza maandamano |
|
Makanya katika ubora wake |
|
Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akisalimiana na Kamanda mwenye ulemavu wa viuongo |
|
Mweneyekiti wa Kijiji cha Makanya Wilaya ya Same PETER ARON MCHOME |
|
Katibu wa Wilaya ya Mwanga Kamanda Lembris Mchome |
|
Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akiwapongeza Wananchi wa Makanya kwa umoja wao wa kul |
|
Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akimkabidhi Katiba ya chama na Katiba ya Nchi inayotumika sasa Mweneyekiti wa Kijiji cha Makanya Wilaya ya Same PETER ARON MCHOME |
|
Mhe Lema akiongea na wananchi wa Makanya na kuwapongeza kwa ushindi dhidi ya CCM, amewahasa kuendelea na umoja na ushirikiano walio uonesha kwa Mwenyekiti wao Kamanda Mchome |
No comments:
Post a Comment