| Makamanda walio msindikiza Kamanda Magoma Kurudisha Fomu ya Ubunge ndani ya Chama |
| Kamanda Magoma Katika Ubora wake |
| Kamanda Magoma apokelewa na Wananchi wa Nangwa ( kata anayo tokea Mary Nagu) |
| Wanachi wa Nangwa waliojitokeza kumpokea kamanda Magoma |
| Msafara wa pikipiki 40 ukimsindikiza kanda Magoma kurudisha fomu ya kugombea Ubunge |
| Kamanda Magoma akiwa na Shangazi yake |
| Katibu wa Wilaya ya Hanang Mh Charles akipokea fomu ya Kamanda Magoma |
| Katibu wa Wilaya ya Hanang Mh Charles akipokea fomu ya Kamanda Magoma |
| Kamanda Magoma akiwashukuru Makamanda walio jitokeza kushuhudia urudishaji fomu |
No comments:
Post a Comment