TASWIRA YA MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI YA HAMASA ZA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA KANDA YA KASKAZINI


Mwenyekiti wa Kanda Mhe Israel Natse akiongoza msafara wa Viongozi na Wabunge wa Chadema Kaskazini Kuingia Uwanjani -Viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro Mjini Arusha

Profesor Jay akiwa na Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Arusha Mhe Rebecca Mgodo pamoja na Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Arusha Kamanda Exaud Mamuya

Wabunge wa Chadema Kanda ya Kaskazini

Arusha katika Ubora wake


Mwenyekiti wa Arusha Mjini Magoma JR Magoma akiongea na wananchi wa Arusha Mjini




Mbunge wa Viti Maalum Mhe Joyce Mukya "HUU NDIO MUDA MUAFAKA WA KUHAMASISHANA KWENDA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA," Tujitokeze kwa wingi

Mhe Ceccilia Paresso amewataka watanzania kujitokeza kwenda kujiandikisha pindi daftari litakapo fika katika maendeo yao

Mhe Pauline Gekulu "NDUGU ZANGU HUU NDIO MUDA PEKEE WA KUJIANDIKISHA NA UPATE KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA UTAKACHO KITUMIA KUPIGA KURA OCTOBER NA KUIONDOA CCM MADARAKANI"

Mhe Joseph Selasini katika ubora wake


Mhe Joshua Nassari amewataka wana arusha na watanzania kuhakikisha wana hamasishana kwenda kujiandikisha

Hizi ndio Ambulance 2 alizo zitoa Mhe Nassari jimboni kwake na Leo amezitambulisha kwenye mkutano wa adhara Arusha Mjini



Profesor Jay katika Ubora wake Arusha Mjini

Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa katika ubora wake

CHADEMA ni chama watu wa rika zote

Mwenyekiti wa Kanda Mhe Israel Natse katika Ubora wake

KATARINA


Rose Urio ( KATARINA) akiongea na wanaarusha

No comments: