SIKU
chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutangaza
maandamano na migomo nchi nzima, jana jijini hapa shughuli za biashara
zilisitishwa kwa takribani saa sita.
Shughuli hizo zilisitishwa baada ya CHADEMA kutumia mbinu zilizowashinda Polisi, baada ya kukusanyika kwa vikundi bila kuvalia nguo zinazoashiria chama hicho.
Jeshi la Polisi, lilipata wakati mgumu baada ya kushindwa kuwadhibiti na kuwabaini waandamanaji na kuambulia kuwashika viongozi wa CHADEMA mkoa.

No comments:
Post a Comment