KUSOGEZWA MBELE KWA MKUTANO WA WATIA NIA NGAZI YA UBUNGE NA UDIWANA KANDA YA KASKAZINI

Habari! Kutokana na kuwa na ratiba ya vikao vya baraza la kanda mwisho wa mwezi january KONGAMANO LA WATIA NIA limesogezwa mbele mpaka utakapo taarifiwa tena kwa ambao hawajajisajili waendelee na zoezi la kujisajili kwani taarifa nyingi zitatolewa kwa waliojisajili.
Samahani kwa usumbufu uliojitokeza.
CHADEMA KANDA YA KASKAZINI.

No comments: