TANGAZO KWA WATIA NIA WOTE -UBUNGE NA UDIWANI

MUHIMU SOMA;
Asanteni walioendelea kutuma taarifa zao tumepokea idadi kubwa ya wenye nia ya udiwani hii ni ishara nzuri kuwa mwaka huu tutaongoza halmashauri nyingi kwa kanda yetu ya Kaskazini kama bado ujahakiki taarifa zako kuwepo tafadhari fanya ivyo.

NINI??;
Tunategemea kuwa na mkutano mzuri sana na mkubwa Sana wa watangazania ya udiwani na ubunge,wenyeviti wa halmashauri na manaibu wao,Meya pamoja na manaibu wao madiwani na wabunge waliopo sasa wote wa kanda ya Kaskazini tarehe 31/01/2015 jijini Arusha, utakao tupa njia nzuri ya ushindi OCTOBER.

NINI CHA KUFANYA ;
unatakiwa kujisajili mara moja kabla ya tarehe 23/01/2015 kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno (SMS) Jina,ngazi ya nia yako,kata pamoja na jimbo lako kwenda namba 0656557586 or 0758976260
Hii si ya kukosa kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba hizo
CHADEMA KANDA YA KASKAZINI

No comments: