TUJIKUMBUSHE DOGO JANJA


Ama kweli CHADEMA ni chaguo la watanzania, huyu ndie DOGO JANJA,alishusha mistari kwenye marudio ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki ambako CHADEMA Ilishinda nafasi hiyoo kupitia Mhe Joshua Nassari.
CHADEMA CHAGUO LA WATANZANIA

No comments: