UZINDUZI WA UKOMBOZI 2015 KANDA YA KASKAZINI

Katibu wa Kanda ya Kaskazini leo Amezindua kampenzi ya Kuchangia Chama Kanda ya Kaskazini, "UKOMBOZI 2015". Kampeni hii iliyo zindiliwa leo itaendelea mpaka Tarehe 1 November ikiwa na lengo la kushirikisha,wadau, wapenzi na wanachama wa Chadema kanda ya kaskazini kuchangia harakati za mageuzi katika nchi ya Tanzania ili kuwezesha operation mbali mbali katika mikoa minne ya kanda ya kaskazini yenye majimbo 33, Chadema tumedharia kuchukua robo tatu ya Majimbo yote ya kanda ya Kaskazini, hivyo basi mchango wako niwa muhimu sana kwetu sisi ilituweze kufikia majimbo yote 33.
Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akifungua rasmi uzinduzi wa KUOMBOZI 2015,pembeni ni Diwani wa Ngarenaro Mhe Isayah H.Doita




Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akionesha tishit ambazo ni za KUOMBOZI 2015,


Gari  la matangazo ya UKOMBOZI 2015, 


Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akizindua gari la Matangazo ya  KUOMBOZI 2015,

Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akipepeprusha bendera ya Chadema kuashiria uzinduzi rasmi wa  KUOMBOZI 2015,

Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akigawa vipeperushi vyenye maelekezo ya uchangia wa  KUOMBOZI 2015,

No comments: