| Wajumbe walio jitokeza kwenye semina elekezi kwa viongozi wa kamati tendaji za kata na na serikali za mitaa |
| Hanang katika ubora wake |
| Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akisalimia wajumbe waHanang |
| Katibu wa Mkoa wa Manyara Mhe Martin Mayala akifungua Semina ya mafunzo kwa wajumbe wa Wilaya ya Hanang |
| Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa akiwa na Mwenyekiti wa Wilaya ya Hanag Mhe Isack Migire |
| Mhe Amani Golugwa akitoa mafunzo juu ya mfumo mpya wa MB 75 kwa viongozi wa Hanang |
| Mhe Golugwa Katika Ubora wake |
No comments:
Post a Comment