Jaji Mutungi amesema kuwa ANAPENDELEA KUWA KARIBU NA VYAMA VYA SIASA YEYE KAMA MLEZI jambo ambalo litasaidia kujua uhitaji wa vyama Vya Siasa na hata kutoa ushauri kwao.
Msajili wa Vyama Vya Siasa Mhe Jaji Francis Mutungi akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Arusha na Katibu wa Chadema kanda ya kaskazini Mhe Amani Golugwa alipo wasili kwenye ofisi za Chadema Mkoa wa Arusha |
Mh Amani Golugwa Kiwatambulisha Viongozi wenzake kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe Jaji Mutungi |
Msajili wa Vyama Nchini Mh Mutungi akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Chadema -Arusha |
Msajili wa Vyama Nchini Mh Mutungi akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Chadema -Arusha |
Jaji Mutungi akifafanua jambo |
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe Jaji Francis Mutungi |
Picha ya pamoja kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mh Jaji Mutungi na Viongozi wa Chadema -Arusha |
No comments:
Post a Comment