KATIBU WA KANDA YA KASKAZINI AMEFANYA ZIARA KWENYE HALMASHAURI YA SIHA.

Katibu wa Kanda (kushoto) Mh Amani Golugwa  akimkabidhi Ilani ya CHADEMA  Mwenyekiti wa Halmashauri  ya Siha Mh Frank K.Tarimo

Katibu wa Kanda ya Kaskazini Mh Amani Golugwa Leo amefanya ziara katika halmashauri ya Siha na kukutana na Mwenyekiti wa halmashauri Mh Frank K. Tarimo.

Amejadiliana naye mambo kadhaa juu ya halmashauri yetu ya Siha. Pia Katibu wa Kanda alifamikiwa kumkabidhi Mwenyekiti wa halmashauri katiba na Ilan ya CHADEMA.
Katibu wa Kanda (kushoto) Mh Amani Golugwa  akimkabidhi KATIBA  ya CHADEMA  Mwenyekiti wa Halmashauri  ya Siha Mh Frank K.Tarimo

Katibu wa Kanda (kushoto) Mh Amani Golugwa  akimkabidhi BENDERA  ya CHADEMA  Mwenyekiti wa Halmashauri  ya Siha Mh Frank K.Tarimo

1 comment:

Unknown said...

How to get to Harrah's hotel and casino by Bus in - Airjordan 9 Retro
The air jordan 18 retro racer blue super site cheapest way to get to Harrah's hotel and how to get air jordan 18 retro men casino by Bus in Harrah's, where can you buy air jordan 18 retro men red 777 Casino Way, Phoenix, AZ buy jordan 18 white royal blue costs only where to buy air jordan 18 retro red $12, and the quickest way takes just 3