MBOWE AFANYA ZIARA KUONA UJENZI WA UPANUZI WA KANISA USHARIKA WA NSHARA MACHAME


Mbunge wa jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe ametembelea kuona maendeleo ya Ujenzi wa upanuzi wa kanisa Usharika wa Nshara Machame mkoani Kilimanjaro.

Mhe. Mbowe amempongeza Mchungaji Aseri Charles Kihunrwa na uongozi wa kanisa pamoja na waumini wote kwa hatua kubwa ya maendeleo inayoonekana  kanisani hapo



No comments: