MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MH FREEMA MBOWE AFANYA ZIARA KWENYE OFISI YA MEYA JIJI LA ARUSHA

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh Freeman Mbowe akiwa kwenye Ofisi ya Meya wa Jjiji la Arusha
Mwenyekiti wa chadema taifa na kuongozi wa upinzani bungeni (KUB) leo amekutana na kuzungumza na wabunge wa chadema mkoa wa arusha , Meya wa jiji na Madiwani akiambatana na uongozi wa kanda ya kaskazini ofisini kwa meya wa jiji la arusha.
Picha ya Pamoja

Mh Freeman Mbowe akisikiliza Maoni ya Madiwani wa Jiji la Arusha
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Freeman Mbowe akiwa kwenye Ofisi ya Meya wa Jiji la Arusha Pamoja na Uongozi wa Chama Mkoa wa Arusha, Madiwani wa Jiji la Arusha na Wabunge Wa chadema Mkoa wa Arusha

No comments: